GET /api/v0.1/hansard/entries/503603/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 503603,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/503603/?format=api",
"text_counter": 169,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "tukiangalia Sen. Kajwang amelala, hana makosa na maswali mengi. Ungemwona jana, ungesema siye ndiye alikuwa aende. Kuna wengine ambao tuko wadhaifu zaidi yake. Lakini kila mtu ana siku yake na ndio tumeona ile hali ambayo mwenzetu ametuacha ilhali sisi hatujui kama tutaliwa na simba ama tutakufa kwa mto. Tunajisikia mashujaa kwa sababu ushujaa ni kumzika mtu wako. Kwa hivyo, kweli tunalia lakini tunafurahi kwa sababu tutamzika kama shujaa. Mwenyezi Mungu alaze roho yake pema peponi."
}