GET /api/v0.1/hansard/entries/503809/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 503809,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/503809/?format=api",
"text_counter": 204,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwamkale",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2672,
"legal_name": "William Kamoti Mwamkale",
"slug": "william-kamoti-mwamkale"
},
"content": "Asante sana, Bw. Spika kwa nafasi hii. Kwa niaba yangu na wakaazi wa Eneo Bunge la Rabai, nasema pole. Natoa risala za rambirambi kwa familia ya Senator Kajwang’, hasa nikimtambua ndugu yangu, mhe. T.J. Kajwang’, akiwa ameachiwa hatamu za familia hii. Nasema pole kwa wakaazi wote wa Kaunti ya Homa Bay kwa kumpoteza kiongozi wao ambaye walimuenzi mpaka wakampa kura zote. Nataka kuwaambia kwamba kifo cha Senator Otieno Kajwang’ hakiombolezwi na familia na watu wa Kaunti ya Homa Bay peke yao. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}