GET /api/v0.1/hansard/entries/503810/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 503810,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/503810/?format=api",
    "text_counter": 205,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwamkale",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2672,
        "legal_name": "William Kamoti Mwamkale",
        "slug": "william-kamoti-mwamkale"
    },
    "content": "Alikuwa kiongozi wa Kenya nzima. Kila mmoja alimtambua, hasa wakati wa Katiba. Kwa hivyo, msiba huu unaombolezwa Kenya nzima. Nataka wajisikie kwamba wako na wenzi wao wakati huu mgumu. Basi kwa hayo machache, letu ni kumwombea mwenzetu aliyeenda kwamba Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi na aweze kuifariji familia na wale wote wa karibu walioachwa."
}