GET /api/v0.1/hansard/entries/503836/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 503836,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/503836/?format=api",
"text_counter": 231,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Amolo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 631,
"legal_name": "Rachel Ameso Amolo",
"slug": "rachel-ameso-amolo"
},
"content": "Asante sana, Bw. Spika. Kwa niaba yangu binafsi na jamii yangu na watu wote wa Kakamega tungependa kutuma rambirambi zetu kwa jamaa ya Senator Kajwang’ ambaye ametuwacha. Ni jambo la kuhuzunisha sana. Tumempoteza mwanasiasa aliyekuwa shujaa katika nchi hii yetu ya Kenya. Nilimfanyia kazi wakati nilikuwa chuoni akiwa National Housing Corporation (NHC). Kwa hivyo, ni pengo kubwa ambalo tumepata na itakuwa ngumu sana sisi kama Wakenya kulijaza. Katika hali ya kuomboleza, tunasema poleni sana watu wa Homa Bay. Mungu awabariki wakati huu mnapoomboleza. Asante sana, Bw. Spika."
}