GET /api/v0.1/hansard/entries/503842/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 503842,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/503842/?format=api",
    "text_counter": 237,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Wekesa",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2742,
        "legal_name": "David Wafula Wekesa",
        "slug": "david-wafula-wekesa"
    },
    "content": "Asante sana, Mhe. Spika, kwa kunipa fursa hii ili kwa niaba ya jamii yangu na watu wa Saboti, niweze kutuma risala za rambirambi kwa familia ya hayati Senator Kajwang’. Mimi binafsi niliwahi kufanya kazi kwa karibu sana na marehemu na tulishirikiana kwa uzuri sana. Asante sana."
}