GET /api/v0.1/hansard/entries/503844/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 503844,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/503844/?format=api",
    "text_counter": 239,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Angwenyi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 326,
        "legal_name": "Jimmy Nuru Ondieki Angwenyi",
        "slug": "jimmy-angwenyi"
    },
    "content": "nitume rambirambi zetu kwa jamaa na marafiki wa hayati Senator Kajwang’. Hayati Senator Kajwang’ alikuwa rafiki wangu wa dhati. Kitu kimoja ambacho kilikuwa kinatushikanisha sisi wawili ni kwamba miaka kumi hapo mbeleni nilikuwa nimefukuzwa Chuo Kikuu cha Nairobi (UON) nikipigania maendeleo ya wanafunzi. Naye miaka kumi baadaye alifukuzwa viyo hivyo. Kwa hivyo, tulikuwa na shida moja. Kitu cha pili, alikuwa shujaa wa Kenya kwa kutatua matatizo ya Kenya akiimba “W akenya msilale, lale, lale; Wakenya msilale laleee ”. Hon. Speaker: Your time is up!"
}