GET /api/v0.1/hansard/entries/503864/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 503864,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/503864/?format=api",
    "text_counter": 259,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Kariuki Ndegwa",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2104,
        "legal_name": "Julius Ndegwa Kariuki",
        "slug": "julius-ndegwa-kariuki"
    },
    "content": "Asante sana, Mhe. Spika. Mimi mwenyewe na familia yangu na wananchi wa Lamu Magharibi, ambao ninawaakilisha, tunatoa risala za rambirambi kwa marehemu Seneta Kajwang’. Mungu amuweke mahali pema peponi. Pia ni vizuri tulichukue jambo hili na tujue kwamba mla nawe hafi nawe ila mzaliwa nawe, kama vile Seneta Otieno Kajwang’ amekaa na ndugu yake Raila Odinga mpaka kifo chake kilipofika. Asante sana Mhe. Spika."
}