GET /api/v0.1/hansard/entries/503882/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 503882,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/503882/?format=api",
"text_counter": 277,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Ibren",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 834,
"legal_name": "Nasra Ibrahim Ibren",
"slug": "nasra-ibrahim-ibren"
},
"content": "Nashukuru, Mhe. Spika kwa fursa hii. Ningependa kuchukua fursa hii kwa niaba yangu binafsi na niaba ya watu wa Marsabit na watu wa Mashariki ya juu ya Kenya kwa jumla kutuma rambirambi zangu za kirasmi kwa familia, marafiki na watu wa Homa Bay kwa kumpoteza mpendwa wao Senator Kajwang’. Pia ningependa kuambia Waheshimiwa wenzangu wote kwamba maisha sio ya milele. Kwa hivyo tuwafanyie kazi watu waliotuchagua. Tuwawakilishe vizuri katika hili Bunge. Naomba Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi."
}