GET /api/v0.1/hansard/entries/504186/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 504186,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/504186/?format=api",
"text_counter": 260,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwashetani",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2163,
"legal_name": "Khatib Abdallah Mwashetani",
"slug": "khatib-abdallah-mwashetani"
},
"content": "Asante sana Naibu Spika wa Muda. Ningependa kwanza kumshabikia Mhe. Keynan kwa kuuleta Mswada huu. Ningependa kusema kuwa kule nje ni kubaya. Kwa wakati ule mdogo ambao nilipelekwa kwa uchaguzi mdogo, niliona kama ndoto. Ukiwapigia simu, wenzako hawashiki. Kwa hivyo, huu Mswada utawasaidia wengi. Kwa upande wa bima, wengi wa wabunge ambao wamekuwa katika viti, ningependa kutoa mifano lakini sio kwa majina, wale wa kutoka Pwani, ukiangalia hali zao sasa hivi za kiafya, zimekwenda chini kwa sababu ya kukosa matibabu. Kwa hivyo, ninaunga mkono Mswada huu ambao umeletwa Bungeni wakati ufaao."
}