GET /api/v0.1/hansard/entries/505797/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 505797,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/505797/?format=api",
    "text_counter": 412,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Gichigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1909,
        "legal_name": "Samuel Kamunye Gichigi",
        "slug": "samuel-kamunye-gichigi"
    },
    "content": "Asante sana Naibu Spika wa Muda. Ningetaka pia kuchangia mjadala kuhusu hii Ripoti ambayo Rais wa Kenya aliweza kutupatia kuhusu hali ya usalama katika hii nchi. Ijapokuwa hii Ripoti ilikuwa ya miezi kadhaa ambayo imepita nimeiangalia na ninaona bado mambo yale ambayo imeangalia ni yale ambayo yako. Hakuna kitu kimefanyika kutoka mwezi wa tatu na wa nne mwaka huu ambacho kimebadilisha sababu za ukosefu wa usalama katika hii nchi na pia hakuna mambo ambayo yamebadilika. Yale majadiliano yalikuwa na pia suluhisho ambazo Ripoti hii imetoa bado ni zile zile. Kwa hivyo, hakuna mabadiliko ambayo yamefanyika."
}