GET /api/v0.1/hansard/entries/505799/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 505799,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/505799/?format=api",
    "text_counter": 414,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Gichigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1909,
        "legal_name": "Samuel Kamunye Gichigi",
        "slug": "samuel-kamunye-gichigi"
    },
    "content": "Pili, kwa hili jambo la ukosefu wa kazi kwa vijana, tusiliangalie tuseme eti polisi ndio wataleta suluhisho katika hii nchi. Lazima tutafutie vijana wetu kazi. Huu uamuzi wa Serikali kuwa watu waendelee kufanya kazi na wastaafu baada ya miaka 60, lazima ubadilishwe. Tupatie vijana wetu nafasi ya kufanya kazi. Lazima wananachi wastaafu wakiwa na miaka 55 kama ilivyokuwa. Jambo la mtu kupata mshahara kwa muda wa zaidi ya miaka 30 lazima likome. Vijana wetu watafutiwe kazi."
}