GET /api/v0.1/hansard/entries/505800/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 505800,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/505800/?format=api",
"text_counter": 415,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Gichigi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1909,
"legal_name": "Samuel Kamunye Gichigi",
"slug": "samuel-kamunye-gichigi"
},
"content": "Tatu, ukosefu wa usalama umechangiwa na jambo la ufisadi. Sisi wote tunafahamu vyema kuwa wakora wengi ambao wanaingia humu nchini wamepatiwa vibali katika mipaka yetu, hapa Nairobi na kwingineko na maofisa wa idara kadha wa kadha ambazo zinahusiana na upeanaji vibali. Hao ndio wanasababisha ukosefu wa usalama katika nchi hii."
}