GET /api/v0.1/hansard/entries/505801/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 505801,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/505801/?format=api",
"text_counter": 416,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Gichigi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1909,
"legal_name": "Samuel Kamunye Gichigi",
"slug": "samuel-kamunye-gichigi"
},
"content": "Naibu Spika wa Muda, hatuwezi kuboresha usalama katika nchi hii kama tunafikiria polisi ndio wataleta usalama. Lazima viongozi wote na wananchi wote wa Kenya wakubali vile Rais alisema jana kwamba, usalama katika nchi hii ni jukumu lako na langu. Sisi ambao tuna watoto, ni filimu gani ambazo tunanunulia watoto wetu waangalie? Ni zile ambazo zina bunduki ambazo watoto wanajifunza nazo? Ukienda kuwanunulia vitu vya kuchezea, unawanunulia bunduki ya maji? Sisi wenyewe ndio tunaleta ukosefu wa usalama katika nchi hii na ni jukumu letu kuhakikisha hayo yanafanyika pia."
}