GET /api/v0.1/hansard/entries/506012/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 506012,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/506012/?format=api",
    "text_counter": 101,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy Juma Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 758,
        "legal_name": "Boy Juma Boy",
        "slug": "boy-juma-boy"
    },
    "content": "Bw. Spika, lizungumzwalo hapa ni tishio la maisha ya mmoja kati ya sisi hapa Maseneta. Mambo haya kutokana na takwimu tunazozipata ni kwamba kila wakati Serikali huonywa kwamba kuna kitu fulani kitatokea na hakuna lifanywalo. Habari zilielezwa kuhusu maafa ya Kapedo, Mandera na kwingineko. Ikaja"
}