GET /api/v0.1/hansard/entries/506249/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 506249,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/506249/?format=api",
"text_counter": 62,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Mheshimiwa Spika, naomba pia mwongozo wako kuhusu hili suala kwa sababu kinara wa walio wengi Bungeni na kiongozi mwenzangu ametoa hoja hapa ya kumaanisha kuwa hawa mabwana waheshimiwa wa Bondo na Kisumu wako katika hatari kubwa ya kufurushwa kwa chama. Suala kama hili naomba nilichangie kwa sababu mimi ni mhusika. Wasiwasi wa hawa ndugu zangu waheshimiwa, naomba niutulize. Chama chetu cha Orange Democratic Movement (ODM), si chama cha kuvamia mambo ya kuweza kufukuza wenzetu wa chama kiholela. Kwanza, tunaanzia mashinani, na katiba ya chama iko. Kama hufuati katiba ya chama na mwongozo wa chama, unafanya nini chamani? Hilo ndilo suali."
}