GET /api/v0.1/hansard/entries/506254/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 506254,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/506254/?format=api",
"text_counter": 67,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Mheshimiwa Spika, naomba nikamilishe. Mwenzangu, katika hii hoja ya nidhamu aliyosimama, kwa maoni yangu, anapotosha Bunge kusema kuwa hawa ndugu zetu wako katika hatari kubwa sana ya kufurukushwa kwa chama. Kama wamefuata sheria, hakuna mtu yeyote atakayefurukushwa. Lakini kama hawatafuata---"
}