GET /api/v0.1/hansard/entries/506518/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 506518,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/506518/?format=api",
    "text_counter": 331,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwashetani",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2163,
        "legal_name": "Khatib Abdallah Mwashetani",
        "slug": "khatib-abdallah-mwashetani"
    },
    "content": "Katika sehemu ya mpaka, niko na changamoto kubwa sana na hii changamoto nimeizungumzia muda mrefu. Sisi hatuna vifaa kama sehemu ya Lungalunga. Washikadao wa usalama na wao vile vile wanashindwa kuwafikia wakubwa wao. Hatuna magari hadi wakati huu na ukiangalia maafisa wetu, ni wachache sana. Wale wanaofanya nchi yetu kutopata usalama wanapitia kwa ile mipaka na sisi kama viongozi tumelizungumzia jambo hili sana. Ni jambo la kuhuzunisha kwamba hadi wakati huu hatujaona hatua ikichukuliwa kuhusu jambo hili."
}