GET /api/v0.1/hansard/entries/51013/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 51013,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/51013/?format=api",
    "text_counter": 311,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kutuny",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 61,
        "legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
        "slug": "joshua-kutuny"
    },
    "content": "Bw. Spika, itafahamika kwamba Serikali katika Kaunti ya Uasin Gishu imewajengea nyumba zaidi ya 12,000 waathiriwa wa vita vya kisiasa vya mwaka wa 2007/2008. Kati ya hizo nyumba 12,000, zile ambazo zinakaliwa kwa sasa ni 7,500. Nyumba zaidi ya 4,000 hazina wenyewe. Maswala mengi hapa yanaulizwa ni kwa nini wale watu hawajarejea. Ningependa Waziri aeleze Bunge kwamba tayari Serikali imewajengea nyumba za kutosha lakini labda kuna sababu zingine."
}