GET /api/v0.1/hansard/entries/510146/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 510146,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/510146/?format=api",
"text_counter": 171,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 751,
"legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
"slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
},
"content": "Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda, nilikuwa nikizungumzia waendeshaji boda boda. Ni jukumu letu kuhakikisha kwamba sheria za barabarani zinaheshimiwa. Mara nyinyi sisi wananchi tunatazama tu boda boda mmoja akibeba zaidi ya watu watatu, wanne ama watano. Ni kweli tunataka vijana wetu wapate pesa lakini polisi wa trafiki nao wanaangalia nini? Ajali inapotokea na watu kufariki, unakuta badala ya kufa mmoja, ingawa hatuombei wafe, watakufa sita na hiyo inatokana na uzembe uliyoko katika upande wetu wa trafiki."
}