GET /api/v0.1/hansard/entries/510151/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 510151,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/510151/?format=api",
    "text_counter": 176,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 751,
        "legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
        "slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
    },
    "content": "Kumalizia ninaomba kuunga mkono huu Mswada na yale yote tuliyoyazungumza hapa ama tuliyojadili yaweze kutiliwa maanani. Kwa wale ambao wanahusika pia waweze kuyasikia na kuyatilia maanani tuone vile ambavyo tunaweza kuokoa maisha ama pia kuokoa vijana wetu katika ajali zile ambazo zinaendelea katika barabara zetu. Naunga mkono huu mjadala. Thank you very much."
}