GET /api/v0.1/hansard/entries/511145/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 511145,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/511145/?format=api",
"text_counter": 285,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Gichigi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1909,
"legal_name": "Samuel Kamunye Gichigi",
"slug": "samuel-kamunye-gichigi"
},
"content": "Mhe. Spika, jambo la pili ni kuwa huenda kuna mapendekezo ambayo yanatashwishi hapa. Ni nani amekatazwa kuleta mabadiliko ili kubadilisha na kutengeneza hii sheria wakati ufaao? Hakuna mtu ambaye amejaribu kufanya hivi. Wale ambao wanapinga haya mapendekezo wameguzia vifungu kama vitatu. Kwa kweli, tumesikia maoni yao. Mwenyekiti wa kamati ya Utawala wa Mikoa na Usalama wa Ndani amesikia. Ataangalia kuhusu mambo ya mikutano kama hiyo ambayo iko na shida na kutaletwa mapendekezo ya kubadilisha mambo haya. Kwa hivyo, ninawaomba wenzangu wote tushikane ili tuyashughulikie mambo ya usalama katika nchi hii. Mwaka jana, tuliipatia Serikali pesa nyingi sana kwa upande wa usalama, lakini tumeona kuwa hazitumiwi vyema hata kidogo. Kama afisa ambaye anahusika na mambo ya mipaka anamruhusu mtu kuja hapa nchini baada ya kupewa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}