GET /api/v0.1/hansard/entries/511146/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 511146,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/511146/?format=api",
"text_counter": 286,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Gichigi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1909,
"legal_name": "Samuel Kamunye Gichigi",
"slug": "samuel-kamunye-gichigi"
},
"content": "hongo, anastahili kufungwa. Hivi majuzi nilikua Mombasa, nikaongea na jamaa mmoja akaniambia ametoka Rwanda lakini akatoa kitambulisho akaniambia alikinunua hicho kitambulisho kwa Kshs10,000 pekee. Mnasema yule ofisa ambaye alipeana kitambulisho tusimhukumu? Mnasema huyo mtu mwenye kitambulisho hicho tusimnyang’anye? Hizi sheria ambazo ziko hapa ni muhimu sana. Tupatie Rais na askari wetu uwezo wa kushughulikia hawa maharamia. Wacha wamalizwe kabisa. Hivyo ndivyo ninasema."
}