GET /api/v0.1/hansard/entries/511269/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 511269,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/511269/?format=api",
"text_counter": 409,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Ni ombi langu kuwa tutaweza kujistili na tufanye kazi ile ambayo tumepatiwa na wananchi. Hivi leo mchana, tumechukua muda mwingi sana tukiangalia vipengele kadha wa kadha kutokana na Mswada huu ambao ni wa sheria za ulinzi. Imebainika wazi kuwa Mswada huu unahitaji marekebisho kadha wa kadha. Nashukuru Mwenyekiti wa Kamati. Amekubali kuwa marekebisho haya yataletwa. Ameyaweka maanani na kuwa yataletwa hapa yajadiliwe na Wabunge."
}