GET /api/v0.1/hansard/entries/511378/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 511378,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/511378/?format=api",
    "text_counter": 518,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon.Chumel",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 318,
        "legal_name": "Samuel Chumel Moroto",
        "slug": "samuel-moroto"
    },
    "content": "Ahsante Naibu wa Spika kwa kunipa nafasi ili nichangie pia hali ilivyo leo. Kwanza, nataka kushukuru na kupongeza watu wa Kapenguria na West Pokot kwa jumla. Nawatakia kila la heri Wakenya na Wajumbe wakati wanarudi nyumbani. Nataka niseme kwa ufupi kwamba watu wamelalamika na kulia sana juu ya suala la usalama. Leo tumejadili kuhusu jinsi ya kurekebisha sheria na kutengeza hali ambayo itasaidia kudumishwa kwa mambo ya usalama. Lakini nataka kuwaeleza Wajumbe The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}