GET /api/v0.1/hansard/entries/512459/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 512459,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/512459/?format=api",
"text_counter": 72,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Shimbwa",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1345,
"legal_name": "Omar Mwinyi Shimbwa",
"slug": "omar-mwinyi-shimbwa"
},
"content": "Bw. Spika, naomba kukueleza kwamba nilileta Petition Bungeni mwezi wa September, 2014 kuomba ardhi ya Serikali kwa sababu ya sehemu ya uwakilishi Bungeni ya Changamwe lakini, mpaka sasa, Kamati ya Ardhi haijatoa jibu. Zaidi ya miezi mitatu imeshapita sasa. Kwa hivyo, nakuomba uishurutishe Kamati ya Ardhi iwajibike na kuwatendea haki wakazi wa Changamwe."
}