GET /api/v0.1/hansard/entries/513840/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 513840,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/513840/?format=api",
"text_counter": 186,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Gichigi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1909,
"legal_name": "Samuel Kamunye Gichigi",
"slug": "samuel-kamunye-gichigi"
},
"content": "Iwapo watu ambao watakuwa wakichaguliwa hivi karibuni hawatakua watu wenye umri mdogo, kukiletwa watu ambao wamestaafu, kama Bunge, tunafaa kukataa. Sisemi kwamba watu ambao wamestaafu ni wabaya lakini ni lazima tuzingatie maslahi ya wafanyikazi wa nchi hii. Katika nchi hii, kuna vijana ambao wamehitimu. Kupitia Hoja ambayo ilikuwa hapa, tuliongezea muda Kamati ya Haki na Masuala ya Sheria The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}