GET /api/v0.1/hansard/entries/513958/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 513958,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/513958/?format=api",
"text_counter": 304,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Ngunjiri",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1179,
"legal_name": "Onesmas Kimani Ngunjiri",
"slug": "onesmas-kimani-ngunjiri"
},
"content": "Thank you, hon. Temporary Deputy Speaker for giving me this opportunity. Ningependa kuchukua nafasi hii ili niungane na wenzangu kuunga mkono hii Hoja. Uchunguzi kuhusu aliyeteuliwa umefanywa vilivyo na kamati husika. Jina lake limepitishwa na kamati ambayo imeona kwamba yeye anafaa. Sitaki kurudia yale ambayo yamesemwa na wenzangu. Ni muhimu tuwe na balozi katika nchi ya Somalia ili tuweze kufanya kazi ambayo iko mbele yetu na tusaidie wananchi wetu. Itakuwa bora ikiwa Wakenya watafanya kazi pamoja na wananchi wa Somalia. Naunga mkono."
}