GET /api/v0.1/hansard/entries/514108/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 514108,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/514108/?format=api",
"text_counter": 99,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Gathogo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2715,
"legal_name": "Esther Nyambura Gathogo",
"slug": "esther-nyambura-gathogo"
},
"content": "Ahsante sana, Naibu Spika wa Muda. Kwanza, nashukuru kwa sababu, mimi ni mama wa kwanza kuongea katika Bunge leo. Nimesimama kuunga mkono hii Hoja. Kuna mambo mengi ambayo yamezungumuzwa. Kabla ya hayo, ningependa kusema ya kwamba, nimetumwa na watu wa Kaunti ya Ruiru. Wanasema tuendelee kuombea Bunge letu la Kumi na Moja ndiyo tusiweze kuchafuliwa na mambo yanayopita ya kamati. Mimi ni mmoja wa wahubiri ambao bado hawajateuliwa. Ningependa kuchukua jukumu la kuombea Bunge hili. Tuendelee kuomba kwa sababu uchafu ukiingia katika hii nyumba, hata ikiwa huna uchafu, utakushika. Nasema hivyo kwa sababu mimi ni mhubiri. Tukikosa kujua ni shule gani zinafanya vyema shule zitarudi nyuma. Walimu nao watakosa kufanya kazi kwa bidii kwa sababu watajiambia kwamba hata shule The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}