GET /api/v0.1/hansard/entries/514163/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 514163,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/514163/?format=api",
"text_counter": 154,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadime",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2451,
"legal_name": "Andrew Mwadime",
"slug": "andrew-mwadime"
},
"content": "Ni vyema kabisa kuzidhibiti na ikiwezekana mashirika kama NACADA yawezeshwe angalau kuzuia utupaji wake mapema, maanake tukiziona mapema ni vyema zaidi kuliko kuzuia baadaye. Nikiongea kuhusu eneo la Bunge la Mwatate, ni tatizo sugu maanake vijana wadogo, ingawaje amesema wa kiume hata pia wa kike, wako katika hali hiyo hiyo. Kwa hivyo ingekuwa ni vyema tuzuie hili tatizo mapema kwa kudhibiti na kuzuia kabisa mpaka wakati hawa vijana wamefika wakati unaofaa ndio waweze kujishughulisha na vinywaji."
}