GET /api/v0.1/hansard/entries/514186/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 514186,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/514186/?format=api",
"text_counter": 177,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Chea",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1694,
"legal_name": "Mwinga Gunga Chea",
"slug": "mwinga-gunga-chea"
},
"content": "Ni muhimu walimu wetu wachangie katika kukuza watoto wetu kwa njia nzuri. Najua haya masuala yako kwenye syllabus ambazo walimu wanafuata. Ningependekeza kwamba washikadau wote wahusike katika kutatua tatizo hili. Lazima wahusike kwa njia nzuri kwa sababu kama suala hili halitaangaziwa vyema, huenda ikawa tumefungua nafasi ya baadhi ya watu kuleta ufisadi. Mimi ninaamini kunazo sheria ambazo zinadhibiti unywaji pombe. Ni sheria ambazo zikifuatwa kwa njia nzuri basi hatutakuwa na matatizo kama yale yamezungumziwa na wanenaji wenzangu."
}