GET /api/v0.1/hansard/entries/514954/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 514954,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/514954/?format=api",
"text_counter": 202,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy Juma Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 758,
"legal_name": "Boy Juma Boy",
"slug": "boy-juma-boy"
},
"content": "Bw. Spika, nakushukuru kwa kunipa wakati huu wa hoja ya nidhamu. Alichoomba Sen.Hassan ni taarifa, na jibu lililotoka kwa mwenyekiti ni kwamba, atatoa taarifa siku ya Alhamisi, lakini hakusema ni Alhamisi gani. Amesema tu Alhamisi lakini hatujui ni mwaka ujao au mwezi ujao. Alhamisi ni nyingi. Hakutupa tarehe maalum. Ni Alhamisi ya wiki hii, ya mwezi ujao au ya mwaka ujao ? Hilo ndilo swali."
}