GET /api/v0.1/hansard/entries/515135/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 515135,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/515135/?format=api",
"text_counter": 383,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kisasa",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13124,
"legal_name": "Mshenga Mvita Kisasa",
"slug": "mshenga-mvita-kisasa"
},
"content": "Asante Bw. Spika wa Muda. Naomba hata mimi nichangie Hoja hii. Bwana Kerrow ana kero nyingi tangu jana kulingana na vile nilivyomuona kwenye runinga. Swala la usalama ni la muhimu sana. Saa hizi, mimi kama mama nashangaa vile kulivyo huko Mandera. Shule zilifungwa huko Mandera na itakapofika mwezi wa nane, watoto wa Mandera wahitajika kufanya mitihani kama wengine. Lazima tutie nywele maji kabla ya Boko Haram kuja hapa."
}