GET /api/v0.1/hansard/entries/515350/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 515350,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/515350/?format=api",
"text_counter": 213,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Spika wa Muda, hatukuomba kuzaliwa pale ambapo tulizaliwa na hayo hayawezi kufutika. Sisi kama Wakenya tunaomba tuwe jamii moja. Hata kama mtu anazungumza Kijaluo, mjaluo naye pia aweze kuongea Kiswahili mufti. Kama unavyojua, Kiswahili ni kigumu kwa Sen. (Prof.) Anyang’-Nyong’o. Labda anangoja kuniuliza baadaye; Sen. Kisasa, ulikuwa ukisema nini? Hii ni kwa sababu hakusome pwani mwa Kenya. Kwa hivyo, sisi tunaomba---"
}