GET /api/v0.1/hansard/entries/515721/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 515721,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/515721/?format=api",
"text_counter": 16,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Asante sana, Bw. Spika. Nataka kutoa shukurani kwa Serikali ya Tanzania kwa kuwaruhusu Wabunge wa Bunge la Tanzania kufika hapa ili kujionea kile tunachofanya katika Seneti. Wabunge hao wanaongozwa na John Paul Wanji, ambaye ni Mbunge katika Bunge la Tanzania na Naibu Mwenyekiti wa Kamati ya Utawala wa Mikoa na Serikali ya Mitaa. Bw. Spika wamekuja na kutuona sisi kama Kamati ya Labour and Social Welfare. Tumezungumza mambo ambayo yanaweza kutusaidia . Vile vile tumeweza kuelezana jinsi tunavyofanya kazi hapa na vile wao wanafanya kazi kule Tanzania. Tunataka kuwashukuru sana kwa ukarimu wao wa kufika hapa. Jambo la mwisho ni kwamba wao pia wametualika na ikiwezekana baadhi ya Maseneta watatembelea nchi ya Tanzania."
}