GET /api/v0.1/hansard/entries/518505/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 518505,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/518505/?format=api",
"text_counter": 96,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Bule",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1029,
"legal_name": "Ali Abdi Bule",
"slug": "ali-abdi-bule"
},
"content": "Bw. Spika, hata Sen. (Dr.) Khalwale hawakilishi Kaunti ya Kakamega peke yake, bali anawawakilisha Wakenya wote ili wapate hudumu kule mashinani. Watu wanapigana ngumi na kuteta huku wakitaka pesa zipelekwe mashinani. Hiyo pesa inaishia makaburini ama inaenda kuwafanyia kazi wananchi wa Kenya?"
}