GET /api/v0.1/hansard/entries/518512/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 518512,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/518512/?format=api",
    "text_counter": 103,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Bule",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1029,
        "legal_name": "Ali Abdi Bule",
        "slug": "ali-abdi-bule"
    },
    "content": "Bw. Spika, hiyo ni kwa sababu ya hasira na masikitiko niliyonayo. Hatuwezi kuendelea kuyafungia macho yale mambo ambayo yanafanyika kule mashinani. Huwezi kutoa pesa kwa jamii yako kama baba na hujui inakoenda. Hii ni kama kupeleka pesa kaburini. Asilimia 98.8 ya pesa iliyotengewa Kaunti ya Tana River imeenda kwa mifuko ya watu binafsi. Kifungu cha Sheria 96 kinatupa uwezo wa kutunga na kulinda sheria ilhali tunatunga sheria nyingi hapa Seneti, lakini inatupiliwa mvunguni. Hoja yoyote inayopitishwa katika Seneti hii haitiliwi maanani na Serikali. Corruptionstarts right here! Kamati ya Hazina ya Fedha, Biashara na Bajeti imefanya uchunguzi mwingi ilhali hatujawahi kuona ripoti yake kuhusu ufisadi unaoendelea kule mashinani."
}