GET /api/v0.1/hansard/entries/518515/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 518515,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/518515/?format=api",
    "text_counter": 106,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Bule",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1029,
        "legal_name": "Ali Abdi Bule",
        "slug": "ali-abdi-bule"
    },
    "content": "Bw. Spika, naomba msamaha. Kila MCA alitumia Ksh198,000 kama marupurupu yake kwenda Merekani na Uingereza ilhali wengine wao hawafahamu hata lugha ya Kiswahili na lugha za kigeni. Wakenya wanaumia kutozwa pesa hizo ambazo zinatumiwa na MCAs kutalii nchi za ulaya."
}