GET /api/v0.1/hansard/entries/518532/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 518532,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/518532/?format=api",
"text_counter": 123,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Bule",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1029,
"legal_name": "Ali Abdi Bule",
"slug": "ali-abdi-bule"
},
"content": "Bw. Spika, nilisema kwamba ufisadi unatokana na Seneti hii. Hii ni kwa sababu sisi tumeajiriwa na Wakenya ambao wanatupa pesa nyingi. Tumetuma Kamati ichunguze ufisadi kisha wao wanaenda kuonana na Magavana na hakuna ripoti wanayoleta kuhusu mambo yanayo fanyanyika mashinani. Ni Marekani au World Bank inayotuletee habari kuhusu yale yanayotendeka."
}