GET /api/v0.1/hansard/entries/518533/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 518533,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/518533/?format=api",
    "text_counter": 124,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Ethuro",
    "speaker_title": "The Speaker",
    "speaker": {
        "id": 158,
        "legal_name": "Ekwee David Ethuro",
        "slug": "ekwee-ethuro"
    },
    "content": " Order, Sen.Bule! Nafikiri kwamba umefafanua na tumekuelewa. Lakini, ningependa kukukosoa hivi: ni vizuri kwamba Sen. (Dr.) Khalwale alikuunga mkono kwa kusema kwamba yeye alikuja Bungeni wiki iliyopita na kusema kwamba kazi yake imetatizwa na yule anayeangalia vitabu vya matumizi ya pesa. Kila anapowaita wanaenda kortini mpaka muda ambao Katiba inaruhusu unaisha. Kisha wanauliza wapewe mwelekeo. Kwa hivyo, wewe nawe vumilia mpaka tupeane mwongozo. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}