GET /api/v0.1/hansard/entries/519280/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 519280,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/519280/?format=api",
    "text_counter": 119,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Gathogo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2715,
        "legal_name": "Esther Nyambura Gathogo",
        "slug": "esther-nyambura-gathogo"
    },
    "content": "Lakini nakuomba kwa heshima Mheshimiwa Mwenyekiti Mbadi ya kwamba sisi hatutaki kujua zaidi vile uenyekiti wako unaendelea. Tunataka kujua yale tunaongea siku ya leo. Tafadhali mambo yako na Mheshimiwa Ken Obura na chama yasijadiliwe hapa bali kwa chama. Ahsante."
}