GET /api/v0.1/hansard/entries/521076/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 521076,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/521076/?format=api",
"text_counter": 130,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Gichigi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1909,
"legal_name": "Samuel Kamunye Gichigi",
"slug": "samuel-kamunye-gichigi"
},
"content": "Nakushukuru sana, Mheshimiwa Spika, kwa kunipa nafasi hii. Nasimama kuunga mkono Hoja hii ambayo imeletwa na Kamati ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. Sababu zangu za kuiunga mkono ni kama zifuatazo:- Kwanza, umuhimu wa hao maafisa kuteuliwa ni waende kazini katika Tume ya Kuajiri Walimu hili iweze kufanya kazi vizuri. Pili ni kwa sababu wametoa mfano mwema kwa kuteua mlemavu ambaye amepewa wajibu na jukumu kubwa katika nchi hii. Kumekuwa na mgogoro huko mashinani kuhusu uwezo na majukumu ya Wizara ya Elimu na Tume hii. Kwa hivyo, ni muhimu sana. Sasa ni wengi. Waende watatue The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}