GET /api/v0.1/hansard/entries/526586/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 526586,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/526586/?format=api",
    "text_counter": 87,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwashetani",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2163,
        "legal_name": "Khatib Abdallah Mwashetani",
        "slug": "khatib-abdallah-mwashetani"
    },
    "content": "Mhe. Spika, ningependa kutuma salamu za rambirambi kwa familia ya Muchai na watu wa Kabete. Nawapa pole kwa niaba ya watu wa Lungalunga na familia yangu kwa jumla. Hoja yangu ni kwa walinzi wetu. Inasemekana kwamba alifuatwafuatwa kutoka mbali. Ningeomba kwamba walinzi wetu wapatiwe redio kwa sababu trailing ama kufuatwafuatwa huanza mbali. Sisi katika siasa na mbio tunazokwenda tunapishana na watu wengi kimaneno na kihoja. Kwa hivyo, tunaomba usalama kwa mwananchi. Sisi kama viongozi usalama wetu uongezwe na walinzi wetu wapewe redio na wasomeshwe zaidi."
}