GET /api/v0.1/hansard/entries/526610/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 526610,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/526610/?format=api",
"text_counter": 111,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Waititu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1618,
"legal_name": "Francis Munyua Waititu",
"slug": "francis-munyua-waititu"
},
"content": "Asante sana, Mhe. Spika. Pia, namshukuru rafiki yangu Pukose. Naomboleza kifo cha rafiki yangu. Tulikuwa na urafiki mkubwa. Alitoka katika Jimbo la Kiambu na watu wa Jimbo la Kiambu wako na machozi. Tukikumbuka vile alivyouliwa hapa katikati ya Nairobi, ni jambo baya sana. Watu walishangaa kwa sababu alipigwa risasi akiwa pamoja na walinzi na dereva wake. Kabla ya kifo cha Mhe. Muchai, alikuwa ameongea wazi kabisa kwamba kuna watu ambao walikuwa wakimfuata na walikuwa wakitaka kumuua. Hilo limesemekana. Alipouliwa, ilisemekana kuwa alikuwa na sanduku ambalo walikimbilia kutoa kwa gari lake. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}