GET /api/v0.1/hansard/entries/529552/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 529552,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/529552/?format=api",
    "text_counter": 241,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Naibu Spika, kwa wale wanaosema kwamba Rais hakufanya vile; ati ilikuwa tu ni sarakasi, hiyo si kweli kwa sababu wakati alipomuachia Naibu wake ashikilia hatamu ya uongozi. Naibu Rasi hakuitwa Naibu Rais tena, bali aliitwa kaimu Rais. Kwa hivyo, ni vizuri sana tujue kwamba hakukuwa na sarakasi pale. Rais wetu mwenyewe alijishusha kabisa. Kitendo hicho kinatuonyesha kwamba Rasi wetu aliona kwamba ilifika wakati lazima hata Katiba yetu itekelezwe vile ambavyo hatukufikiria. Kuna wakati sisi husoma vipengele vya Katiba na hatujui vile vinaweza kutekelezwa."
}