GET /api/v0.1/hansard/entries/530747/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 530747,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/530747/?format=api",
"text_counter": 34,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Gichigi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1909,
"legal_name": "Samuel Kamunye Gichigi",
"slug": "samuel-kamunye-gichigi"
},
"content": "Asante sana Naibu Spika was Bunge. Nasimama kuunga mkono Hoja hii na kumpongeza mhe. Njenga kwa kuileta Hoja hii. Hii ni Hoja nzuri. Ni vizuri tuondoe vyombo ambavyo vinatumika kuweka pombe ili watoto wetu na watu wengine wasifikiwe navyo. Inafaa tuchunguze kama tumeipa halmashauri ya NACADA pesa za kutosha za kutekeleza majukumu yake. Aidha, sharti tuchunguze sheria ya pombe humu nchini ili tujue kama tunatastahili kuibadilisha. Muhimu ni kuhakikisha kwamba majukumu ya NACADA ya kushughulikia zile shida zinazotokana na ulevi wa pombe na madawa mengine, yametimizwa. Juzi wakati tulikutana na mwenyekiti wa hiyo halmashauri, alilia akisema kwamba bajeti yake ni ndogo na kwa hivyo kuna mambo mengi ambayo hawezi kufanya. Tuangalie vile kampuni za soda, kama vile Coca Cola, huwa zinatumia chupa. Huwa zinarudia matumizi ya chupa. Labda tutapata mfano mzuri kuhusu kile ambacho tunafaa tufanye tunapozidiwa na chupa za pombe. Kampuni ya East African Breweries vile vile ina matumizi mazuri ya chupa za pombe. Sioni kama hili ni jambo gumu lakini huenda The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}