GET /api/v0.1/hansard/entries/530819/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 530819,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/530819/?format=api",
    "text_counter": 106,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwaura",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13129,
        "legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
        "slug": "isaac-mwaura"
    },
    "content": "Jambo lingine la kushangaza ni kwamba hata nakala ya Katiba ambayo nimetumia, niliponukuu Kipengee cha 7, ni nakala rasimu; siyo ile ambayo tayari imefasiriwa rasmi kama Katiba ya nchi hii. Hii ni kumaanisha kwamba tangu tulipopitisha Katiba hii mwaka wa 2010, hakuna juhudi zozote zilizofanywa na Serikali kuhakikisha kwamba Wakenya wanaweza kupata katiba hii rasmi katika lugha ya kitaifa. Ni fedheha iliyoje?"
}