GET /api/v0.1/hansard/entries/530889/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 530889,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/530889/?format=api",
    "text_counter": 176,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Kangara",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 12543,
        "legal_name": "Benson Mutura Kangara",
        "slug": "benson-mutura-kangara"
    },
    "content": "Asante sana, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda. Nasimama kuiunga mkono Hoja hii kama ilivyobadilishwa na kumrudishia shukrani Mheshimiwa Joyce Lay kwa kuileta Hoja hii. Ni jambo nzuri. Nataka pia kumshukuru Mheshimiwa Mwaura na Mheshimiwa Wario kwa ufasaha wao wa lugha na utamkaji mwema wa maneno usiokuwa na athari za lugha ya mama. Ninawavulia kofia."
}