GET /api/v0.1/hansard/entries/530907/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 530907,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/530907/?format=api",
"text_counter": 194,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "Kiswahili kimepatiwa kipa umbele kwenye jumuiya ya Afrika Mashariki pia katika Bunge la Afrika nzima ambako kinatumika rasmi. Lugha hii haikuwekwa pale kama mapambo. Inatakikana sisi tunaofahamu lugha ya Kiswahili kuwa muhimu tusukume gurudumu hili ili wengine watufuate. Lugha inatakikana iwawezeshe watu kuelewana. Lugha hutumika kuelimisha watu. Kwa hivyo tutumie Kiswahili kuwaeleza wananchi masuala yanayowahusu. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}