GET /api/v0.1/hansard/entries/530915/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 530915,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/530915/?format=api",
"text_counter": 202,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "Naibu Spika wa Muda, nafikiria bado tunahitaji mafunzo. Wengine tumekuwa Wabunge kwa muda mrefu na wengine bado tunahitaji mafunzo ili kuweza kuelewa masuala haya. Nataka kumalizia kwa kusema kuwa mimi naunga mkono Hoja hii. Serikali iweze kuhakikisha kuwa sheria zinatafsriwa katika lugha ya Kiswahili. Asante sana."
}