GET /api/v0.1/hansard/entries/530930/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 530930,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/530930/?format=api",
"text_counter": 217,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Chea",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1694,
"legal_name": "Mwinga Gunga Chea",
"slug": "mwinga-gunga-chea"
},
"content": "Wakati wowote mtu anautata kuhusu lugha ambayo angependa kutumia, Kipengele cha 50 cha Katiba yetu kimesema kuwa ana haki ya kuhakikisha kwamba kuna mkalimani ambaye amelipwa ndio sheria itafsiriwe kwa ile lugha ambayo anaelewa zaidi. Umuhimu wa kuhakikisha kwamba lugha ya Kiswahili imetumika, ni jambo ambalo ni lazima tuliangalie kwa karibu."
}